Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2024

Je, unatafuta Sala Hizi?

Picha
Ikiwa,unakabiliwa na changamoto na unahitaji mwongozo wa sala, Basi tunakuletea sala maalum zinazokusaidia kuomba kwa usahihi katika nyakati ngumu za maisha. Sala hizi zinalenga kufungua milango ya baraka, ushindi, na amani katika maisha yako ya kiroho, kifamilia, na kifedha. Zimeandaliwa kwa ajili ya mahitaji mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuombea vipato, watoto, afya, na hata ustawi wa biashara yako.  Epuka kuegemea manabii wa uongo; badala yake, pata mwongozo sahihi kupitia kitabu kidogo chenye gharama nafuu ya shilingi 3,000, ambacho pia kinajumuisha vitabu vya Novena kwa ajili ya mahitaji mbalimbali. 1. Sala ya kufunguliwa kwa aliyerogwa na kutupiwa majini machafu, maagano, na maapizo kwenye madhabahu ya giza. 2. Sala ya kuomba baraka ya viganja, mikono, vyombo, na mashamba. 3. Sala ya kuomba baraka ya viganja na mikono. 4. Sala ya kuomba baraka ya vyombo. 5. Sala ya kuomba baraka ya mashamba. 6. Sala ya kuwaombea watoto, wazazi, maskini, yatima, na vipato vyetu. 7. Sala ya ku...