Je, unatafuta Sala Hizi?




Ikiwa,unakabiliwa na changamoto na unahitaji mwongozo wa sala, Basi tunakuletea sala maalum zinazokusaidia kuomba kwa usahihi katika nyakati ngumu za maisha. Sala hizi zinalenga kufungua milango ya baraka, ushindi, na amani katika maisha yako ya kiroho, kifamilia, na kifedha. Zimeandaliwa kwa ajili ya mahitaji mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuombea vipato, watoto, afya, na hata ustawi wa biashara yako. 


Epuka kuegemea manabii wa uongo; badala yake, pata mwongozo sahihi kupitia kitabu kidogo chenye gharama nafuu ya shilingi 3,000, ambacho pia kinajumuisha vitabu vya Novena kwa ajili ya mahitaji mbalimbali.

1. Sala ya kufunguliwa kwa aliyerogwa na kutupiwa majini machafu, maagano, na maapizo kwenye madhabahu ya giza.

2. Sala ya kuomba baraka ya viganja, mikono, vyombo, na mashamba.


3. Sala ya kuomba baraka ya viganja na mikono.


4. Sala ya kuomba baraka ya vyombo.


5. Sala ya kuomba baraka ya mashamba.


6. Sala ya kuwaombea watoto, wazazi, maskini, yatima, na vipato vyetu.


7. Sala ya kuwaombea watoto na wazazi.


8. Sala ya kuwaombea maskini, wenye shida, na yatima.


9. Maombi ya kuwaombea vipato vyetu.


10. Maombi ya kuwaombea imani yetu.


11. Sala ya kuomba ushindi katika uchaguzi.


12. Sala ya kuomba hekima na akili ya kuwa kiongozi.


13. Sala ya kuomba ustahili na uongozi bora.


14. Sala ya kuomba ajira.


15. Sala ya kuomba amani ya familia.


16. Sala ya kuomba msaada wa kifedha.


17. Sala baada ya tendo la ndoa.


18. Sala kabla ya tendo la ndoa.


19. Sala ya kuomba mchumba mwema.


20. Sala kwa wafanyabiashara wadogo.


21. Sala dhidi ya ukame na tufani.


22. Maombi saba juu ya familia na ukoo.


23. Sala kabla ya kula.


24. Sala baada ya kula.


25. Sala ya kuomba imani.


26. Maandiko kuhusu imani katika maombi.


27. Maana ya maandiko haya.


28. Sala ya uponyaji.


29. Sala ya kumwombea kiziwi.


30. Sala ya kumwombea bubu.


31. Sala ya kumwombea kiwete.

KWA MAWASIILIANO BONYEZA HAPA


Epuka kwenda kwa manabii wa uongo kuombea shida zako. Nimekuandalia kitabu kidogo chenye gharama ya shilingi 3,000 tu. Pia, utapata vitabu vingine kama nane vya Novena mbalimbali. 


Wasiliana nami kupitia WHATSAPP namba 0628 664 319

Maoni